Uzoefu wowote unaoupitia katika maisha yako waweza kuwa Ujumbe kutoka kwa Mungu, Kuwa makini usije ukakosa kuusikia ujumbe wa Mungu kwa hisia na mtazamo hasi, Jifunze namna unavyoweza kuyatumia matatizo kwa faida yako
Waweza pakua moja kwa moja kupitia https://api.spreaker.com/v2/episodes/43682627/download.mp3